Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 12, 2010

JAHAZI MORDEN TAARABU YAENDELEA KUTAMBA

Isha Ramadhani mamaa Mashauzi akiwaburudisha mashabiki wakati wa onesho la Jahazi
Waimbaji wa bendi ya Jahazi wakiimba kulia ni Mwasiti Robart

Mkurugenzi wa Bendi ya Jahazi Modern Taarabu Mzee Yusufu akiwaburudisha wapenzi na mashabiki mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Mango Gardeni jijini Dar es Salaam sambamba na onyesho la Ngoma ya Kibati kutoka Tanga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...