Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 14, 2010

NAIBU WAZIRI MWANTUMU MAHIZA AKAGUA SHULE YA SEKONDARI MIONO KUFUNGULIWA RASMI 201I

hapa nikiwa shule ya sekondari miona wakati wa naibu waziri wa mafunzo ya ufundi bi Mwantumu Mahizi na Mhandisi wa Wizara hiyo Bw.Isihaka Sudi

Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bi. Mwantumu Mahiza (wa pili kushoto) akikagua darasa wakata wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Miono iliyopo Kata ya Miono Tarafa ya Miono Wilaya ya Bagamoyo inavyoendelea alipotembelea kuona ujenzi wa shule hiyo itakayo kuwa na wanafunzi wa kidato cha tano na sita wenye vipaji vya masomo ya Sayansi katikati ni Mhandisi wa Wizara hiyo Bw. Isihaka Sudi kushoto ni Mkadiliaji Majenzi wizara hiyo Bw Bakuls Gelbert
WAKIVAA KOFIA KWA AJILI YA KUKAGUA UJENZI WA SHULE HIYO
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bi Mwantumu Mahiza akifafanuwa jambo wakati akiongea na wahandishi wa habari alipotembelea kuona ujenzi wa shule ya sekondari Miono jana kulia ni Isihaka Sudi Mhandisi wa Wizara hiyo na Mkandalasi wa United Buirding LTD Bw. Frederick Shao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...