Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 12, 2010

KUZIONA SIMBA YANGA SH.30,000


SUNDAY KAYUNI, KAIMU KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA (TFF) AMETANGAZA VIINGILIO KATIKA MECHI YA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA KATI YA SIMBA NA YANGA ITAKAYOPIGWA JUMAMOSI HII KATIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA ITAKUWA SH.30,000 KWA VITI MAALUM, 20,000 KWA JUKWAA KUU NA 5,000 KATIKA MZUNGUKO.


kwa hisani ya http://mamapipiro.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...