Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 22, 2010

GLOBAL PUBLISHERS,HABARI COOPERATION NA TRUWORTHS WAJITOKEZA KUDHAMINI GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010Wadhamini wa shindano la kumsaka mwanamitindo wa kike mwenye sifa za kipekee lina zidi kuchua sura mpya kila kukicha baada ya kampuni ya Global publishers & Genral Enterprises kudhamini shindano hili kwa kupitia magazeti yake ya Ijumaa,championi,risasi,uwazi,ijumaa wikienda,Amani na mtandao wa www.globalpublisherstz.com kurusha matukio yote kwa kipindi cha siku 55 za shindano.
Aidha kampuni ya Habari cooperation ya jijini Dar itadhamini shindano hili kwa kutoa habari za Giraffe uniquev model 2010 kupitia magazeti yake ya Mtanzania,Dimba,Rai,The African na Bingwa kwa kila tukio,tunatumaini yakwamba habari za shindano hili zitamfikia kila mtanzani.
Pia duka la nguo la Truwoths lililopo mlimani city litatoa nguo kwaajili ya washiriki siku ya shindano pamoja na blog ya uniqueentertz.blogspot.com ambayo itaandika na kuweka kila namna ya mwenendo mzima wa shindzno hili alikadhalika Giraffe ocean view hotel ndio mdhamini mkuu wa shindano hili

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...