Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 19, 2010

UDHAMINI WA GIRAFFE UNIQ MODEL 2010Udhamini wa hoteli ya giraffe katika shindano la Girafee unique model 2010 umefikia milioni 35 za kitanzania ambapo baadhi ya mambo mengine na wadhamini kadhaa wakijitokeza kudhamini shindano hilo la mitindo ambalo linategemewa kua la aina yake kwa kufungia mwaka kimitindo
Girrafe unique model ni shindano la kumtafuta mwanamitindo wa kike mwenye sifa za tofauti ikiwa na lengo kuu la kuleta mapinduzi ya mitindo nchini tanzania
Pia mbunifu wa mavazi nchini Tanzania ali lemtulah amejitokeza kama mdhamini wa mavazi na mtu atayemchukua model mmoja kama balozi wa nembo ya nguo zake zinazotegemewa kuzinduliwa mwanzoni mwa mwaka ambae atafanya kazi na mwanamitindo huyo kwa mwaka mzima ....ni kitu kikubwa sana watanzania.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...