Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 14, 2010

NYERERE DAY TUNAMUHENZI BABA WA TAIFAleo niNyerere Day watanzania tunamkubuka baba wa taifa Mwl J.K.Nyerere ambaye tangu atutoke mwaka 1999 ni miaka 11. Watanzania tunapaswa kumuenzi mwalimu kwa mengi lakini kuu ni ile falsafa yake ya umoja ambayo ilimpelekea kuunganisha Tanganyika na Zanzibar hivyo hatuna budi kuuenzi muungano wetu. Mwalimu Nyerere anaheshimiwa na watanzania wengi kwa uadilifu na moyo wake wa kutumikia kuliko kutumikiwa…………..ALAZWE PEMA PEPONI……………AMEN.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...