
Wasanii wa bendi ya Msondo wakiwajibika jukwaani

Nacho Mpendu Mama Nzawisa akinengua wakati wa onesho lao jana

Isihaka Kitima DJ Papa Upanga akicheza

Shabiki wa yanga Chacha akimkabidhi elfu 20 kama kifuta machozi kwa washabiki wa simba wa bendi hiyo

waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani katika viwanja vya TCC Changombe Dar es salaam jana kushoto ni Hamisi Maliki, Isihaka KItima DJ Papa Upanga na Juma Katundu
No comments:
Post a Comment