Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 16, 2010

MASENETA WA MSONDO NGOMA KUKUTANA AMANA ILALA KESHO SAA 9


Uongozi wa bendi ya Msondo ngoma kesho itakutana na wapenzi wa bendi hiyo kujadili mustakabali wa bendi hiyo wapi ilipo inapokwenda na kuelekea mwaka 2011 kikao hicho kitakachofanyika katika ukumbi wa Amana Ilala Dar es salaam kitawakutanisha MASENETA akiwemo Juma KIhenge Nasimu Limila Masuod Nassoro Mzee wa Magorofani na wengine wengi ukiwa kama mdau na mpenzi wa bendi hiyo unatakiwa kufika bila kukosa ukipata habari hii mtaarifu na mwenzako

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...