Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 20, 2010

KAMPUNI YA RBP YASAIDIA WATOTO YATIMA

Rais wa Kampuni ya RBP Oil and Industrial Techinology Bi. Rahma al Khoroosi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuusu kuisaidia kituo cha Hananasifu Orphanage Centre kinacholea watoto yatima ambambo yeye amechengia kituo hicho shilingi Tsh 5,000,000 kwa ajili ya kujega shule ya mbweni kwa watoto hawo kushoto ni MKurugenzi wa kituo hicho Bw. Hezekias Mwalugaja.
Rais wa Kampuni ya RBP Oil and Industrial Techinology Bi. Rahma al Khoroosi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam juu ya kuisaidia kituo cha Hananasifu Orphanage Centre kinacholea watoto yatima ambambo yeye amechengia kitio hucho shilingi Tsh 5,000,000 kwa ajili ya kujega shule ya mbweni kwa watoto hawo kushoto ni Mkurugenzi wa fedha wa kituo hicho Bi.Joan Matee
Rais wa RBP Rahma al Khoroosi katikati akiwa na watoto hawo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...