Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 15, 2010

KAMPUNI YA SIMU YA MKONONI YA ZANTEL YASHEHEREKEA MIAKA 11 YA MAFANIKIO


Hamis ma SMS katikati akipiga picha na wafanyakazi wa ZantelWafanyakazi wa Kampuni ya Zantel wakicheza mziki wakati wa SHerehe za kampuni hiyo kupata mafanikio bila kutetelea katika kipindi cha miaka 11

Wafanyakazi wa Kampuni ya Zantel wakicheza mziki wakati wa SHerehe za kampuni hiyo kupata mafanikio bila kutetelea katika kipindi cha miaka 11

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu ya Zantel Bw.Norman Moyo (kulia) akimkabidhi Shahada ya utumishi wa mda mrefu Bw. Mohamed Mohamed makabidhiano hayo yamefanyika wakati wa sherehe ya mafanikio ya miaka kumi na moja ya kampuni hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita
Msosi si mchezo watu walikunywa na kula sio masihara

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...