Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 17, 2010

DK BILAL ATINGA ARUSHA MJINI


Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipongezwa na Bi Nadifa Mohamed Molel (88, ambaye ni mwanachama na shabiki wa chama hicho baada ya kumaliza mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Kata ya Kimandolu mjini Arusha
Mgomea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Batilda Buriani, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Kata ya Kimandolu Jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...