Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 19, 2010

KONYAGI YAPEWA TUZO YA SUPERBRANDS


Viongozi wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd wakiwa katika picha ya pamoja kusherehekea cheti cha Tuzo ya Ubora kinachotambulika kimataifa kilichotolewa na kampuni ya Superbrands hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. Katika picha kuanzia kushoto wanaonekana Bw. Joseph Chibehe, Meneja Mkuu Mauzo , Bi. Martha Bangu, Meneja wa chapa za TDL, Bw. David Mgwassa, Mkurugenzi Mkuu, Bi. Khadija Madawili, Meneja Ufundi, Bw. Mustaffa Nassoro, Meneja Fedha na Bw. Alex Samamba, Meneja Biashara & Maendeleo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...