Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 14, 2010

DK BILAL AHUTUBIA BAHI


Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akivua kofia yake na kumvisha Kijana, James Charles, wakati akifurahia ngoma ya asili ya Kikundi cha Vijana cha Chomamoto, wakati alipowasili Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma leo Okt 13 kufanya mkutano wa kampeni na kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo hilo la Bahi, Omar Baduwel
Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, wakati alipowasili kwenye Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma jana mchana kwa ajili ya kufanya mkutano wa kampeni. Picha na Muhidin Sufiani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...