Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 22, 2010

MACHOZI BAND JUKWAA MOJA NA SIKINDE IJUMAA IJAYO YA TAR 29 OCT 2010, MZALENDO PUB


Ijumaa ya leo tupo kama kawaida MZALENDO PUB.
Ila tunayofuraha kuwajulisha wapenzi wa Machozi kuwa ijumaa ya tar 29 October 2010
Tuna ugeni kutoka kwa wakubwa waliotutangulia kimuziki.
DDC Mlimani Park Orchestra maarufu kama Sikinde Ngoma ya Ukae.
Katika jukwaa moja ili tupate uzoefu.
Tunawaomba mashabiki na wapenzi wa Sikinde pamoja na wa Machozi mjitokeze kwa wingi kuja kutuopa support, pamoja tunaweza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...