Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 14, 2010

VODA COM YADHINDUA MBIO ZA BAISKELI


Meneja Udhamini na Matukio wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (kushoto) Mkuu wa Udhamini wa Vodacom George Rwehumbiza,Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli nchini Nadhiri Manji, wakionyesha bango la kuashiria uzinduzi wa mbio hizo za baiskeli za Vodacom Mawanza Cycle Chalenge 2010 zitakazofanyika mwezi ujao jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...