Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 25, 2010

ZAIN YAKABIDHI ZAWADI ZA BAHATI NASIBU YA MTV AFRICA MISIC


Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Hellen Magessa (kulia) akipokea zawadi ya Runinga kutoka Zain mara baada ya kuibuka mshindi wa bahati nasibu ya kwa ajili ya maandalizi ya tamasha la MTv Africa Music Awards (MAMA). Makabidhiano haya yalifanyika Thai Village jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Anayekabidhi zawadi hiyo ni Meneja Masoko wa Zain, Kelvin Twissa. Tamasha kubwa la muziki barani Afrika la MAMA ambalo limedhaminiwa na Zain, litafanyika mwezi Disemba mwaka huu huko jijini Lagos Nigeria.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...