Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 20, 2010

DK. BILAL AUNGURUMA SAME KWA ANNE KILANGO


Mgombea mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango, wakati alipofanya mkutano wa kampeni katika kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba jana . Picha na Muhidin Sufiani

Baadhi ya Wanachama wa Chadema wakiwa katika foleni wakisubiri kukabidhi kadi na bendera ya Chadema ili kukabidhiwa kadi za CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba Wilaya ya Same jana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...