Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 28, 2010

RAIMOND AIBUKA MSHINDI WA SUPA PESA


RAYMOND SINDA akikabidhiwa mfano wa hundi baada ya kuibuka mshindi wa milioni kumi.na Meneja NATASHA ISSA
Raymond Sinda amejinyakulia kitita cha shilingi milioni Kumi katika mchezo wa bahati nasibu ya SUPA PESA linaloendeshwa katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.
Jumla ya washindi watano tayari wamekwisha jinyakulia kitita cha shilingi milioni kumi kila mmoja tangu kuanza kwa bahati nasibu hii majuma matano yaliyopita

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...