Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 18, 2010

KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL YATIMIZA MIAKA 11 TANGU KUANZISHWA KWAKE


KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel mwishoni mwa wiki ilisherekea miaka 11 ya mafanikio ya kampuni hiyo akizungumza wakati wa sherehe hiyo Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu ya Zantel Bw.Norman Moyo. Amesema wanajivunia kuwa katika kutoa huduma mbalimbali zinazohusu mtandao bila ya kuteteleka kwa kipindi chote cha miaka 11 na kuwa shukulu zaidi ya wateja wa simu milioni 1.5 na wateja zaidi ya Elfu 50 wa intarneti yenye kasi na garama nafuu zaidi nchini, ambapo watu wengi wanajiunga na huduma mbalimbali zitolewazo na Zantel na kwa kuwafikilia kuwa pamoja wameamua kuwalejeshea wateja wao kidogo wakipatacha kutoa milioni moja kwa mtanzania mmoja kila siku katika Promosheni ya 'Hamisi ma SMS' Jinsi ya kushiriki promosheni hiyo unatuma neno HAMISI kwenda namba 15587 na utakatwa kiasi cha sh. 350 na mteja atajishindia zawadi kutokana na pointi ambazo atakuwa amejikusanyia kutokana na kushiriki mara nyingi. Mbali na kujivunia mafanikio ya miaka 11 ya Kampuni hiyo wafanyakazi wake walitunikiwa vyeti vya utumishi wa muna mrefu akiwemo Mejeja wa Fedha wa Kampuni hiyo Bw. Ally Bakari, wengine ni Maalimu Ally, Mohamed Mohamed, Selemani Mbila Abubakari Ahmedi na Sarah Mwigune ambao wamefanya kazi kwa kipindi cha miaka yote ya kampuni hiyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...