Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 23, 2010

DK. BILAL AUNGURUMA MASWA MAGH-SHINYANGA


Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Kijiji cha Masai Kata ya Seng’wa Wilaya ta Maswa Mkoa wa Shinynga, wakati alipowasili kijijini hapo leo mchana kwa ajili ya kufanya mkutano wa kampeni na kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo hilo, Robrt Simon Kasena
Wasanii wa kikundi cha ngoma ya asili cha Bugayangi cha Kijiji cha Ngongo Wilaya ya Maswa, wakicheza na nyoka wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa urais wa CCM Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiwasili katika kijiji cha Masai kufanya mkutano wa kampeni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...