Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 22, 2011

DEO NJIKU NA JONAS SEGU WATAMBIANA BAADA YA KUPIMA UZITO

Bondia deo Njiku akimtambia mpinzani wake Jonas Segu kwa kumonesha vidole vitatu na kusema atamtwanga katika raundi hiyo katikati ni Kocha wa Mchezo wa Ngumi Mhamila Rajabu 'Super D Boxing Choach'
kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach' katikat akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro LEO kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika KESHO.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...