Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 31, 2011

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA JAJI WARIOBAWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Sinde Warioba, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...