Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 14, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MAKAO YA WATOTO YATIMA, MSONGOLA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuzindua jiwe la msingi la Kituo cha kulelea watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Hafla hiyo ya uzinduzi wa kituo hicho ulifanyika leo Oktoba 13, 2011
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kituo cha kulelea watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 13, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichpo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichpo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Baadhi ya watoto wakitoa burudani ya kuigiza maisha ya watoto waishio katika mazingira magumu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaan leo Oktoba 13. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola wilaya ya Ilala, baadha ya kuzinduliwa kwa kituo hicho leo Oktoba 13. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...