Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 16, 2011

WANAUME URUNANI KUTOKA BURUNDI YATWAA UBINGWA WA KIKAPU KANDA YA TANOPicha ya pamoja ya timu ya wanaume na wanawake kutoka BURUNDI timu hizimeshiriki kwa mara ya kwanza mashindano haya ya kanda ya tano ya Afrika mashariki na kati na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano haya.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...