Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 11, 2011

MADA: MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA IKO WAPI KI MICHEZO?Kushoto ni Rajab Marijani Program Manager wa Spoti Kizaazaa Juma Simba na Haika Mrema kutoka Right Click Production katika maandalizi kuanza kurekodi Kizaazaa,Tcc Club Chang'ombe.Kutoka kushoto ni Mdau wa michezo nchini ABdulrahman Kipenga, na wapili kutoka kulia ni Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini.Wadau wa michezo kutoka sehemu mbalimbali walikuwepo

Mwanadada Aliyekuwa mchezaji mahiri wa netballJuma Simba Mdau wa Michezo nchini akifurahi jambo wakati Cliford Mario Ndimbo kulia akiingia Tayari kuungana na wanakizaazaa katika kutoa yaliyo moyoni mwao.Mwl. Mkuu wa Twiga Secondary School iliyopo Tegeta wazo Hill Zainab Mbiro ni Mdau na mwanaharakati katika kuhakikisha michezo nchini inafanya vizuri naye alikuwepo.Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini akielezwa jambo na mwana Spoti kizaazaaa(hayupo pichani)wadau wa michezo nchini wakiwa katika Spoti kizaazaa-Tcc Club Chang'ombe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...