Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 11, 2011

Vodacom foundation yakabidhi madarasa mawili yenye thamani ya sh. Milioni 30 kwa Shule ya Sekondari TAI Wilaya ya Rorya Mkoani MaraMkuu wa Wilaya ya Rorya Bw. Benedict Kitenga (kulia) akikata utepe kufungua madarasa mawili yenye thamani ya shilingi milioni 30 yaliyojengwa katika shule ya Sekondari TAI wilayani humo kwa msaada wa Vodacom Foundation, (kushoto) ni Meneja wa mfuko wa huduma za kijamii (Vodacom Foundation) Yessaya Mwakifulefule.

Meneja wa mfuko wa huduma za kijamii wa Vodacom Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule (kulia) akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi madarasa mawili yenye thamani ya shilingi milioni 30 yaliyojengwa kwa msaada wa mfuko huo katika Shule ya Sekondari TAI iliyoko Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, (kushoto) ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bw. Richard Okore

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...