Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 20, 2011

DULLAYO, SOPRANO Kupagawisha CLUB LA AZIZ Ijumaa hii...Mkali wa kibao kipya cha "Mida ya Kazi", Dullayo aka D-Tymin atapagawisha kwa SHOW kali ktk Club lA AZIZ, Dodoma sambamba na SOPRANO "mzee wa simu ya Tochi"

Dullayo mwenye Hits songs kama Naumia Roho, Twende na Mimi, Bila Yule, Mida ya Kazi na nyingine kibao amesema anatarajia kupiga bonge ya Show kwa wakazi na fans wa pande zile za DOM........ Akiwa na Soprano msanii mwenzake wa bongofleva Dullayo amewataka shabiki zake wote kufika kwa wingi ktk Club hio ya kijanja ambapo kiingilio kitakuwa ni Tshs. 7000 tu kwa kila mmoja!

HII SIO YA KUKOSA MJANJA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...