Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 17, 2011

SIMBA YAFUMUA AFRICA LYON MAGOLI 4-0


Mshabuliaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi akimtoka beki wa tim u ya Africa Lyon wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudia timu ya Simba iliibuka na ushindi mnono wa magoli 4-0 dhidi ya Africa Lyon.
Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia moja ya magoli lao mara baada ya kuifunga timu ya Africa Lyon kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Golikipa wa timu ya Simba aliyeshikilia mpira akiongea na mchezaji wa Africa Lyon wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.
Juma Jabu akichuana na beki wa Lyon

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...