Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 15, 2011

NAPE AZURU KABULI LA BABA YAKE, ATETA NA JK


Rais Jakaya Kikwete akiagana na viongozi wa ngazi za juu wa CCM baada ya mazishi ya Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uhuru FM Juma Penza, jana katika makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati.
.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimwagilia maji kwenye kaburi la Baba yake Marehemu Mussa (Mosses) Salum Nnauye kwenye makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam, jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo-Uenezi CCM).
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa kwenye kaburi la Baba yake Marehemu Mussa (Mosses) Salum Nnauye kwenye makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam, jana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...