
Mfanyakazi wa Star Times akizungumza na mwandishi wa habari wa Mwanachi

mwandishi wa hari wa gazeti la mwananchi akibonyeza kitufe

Ofisa wa Star Times akielezea jinsi walivyopata matatizo ya kuungua kwa Trasfoma lao na kulekebisha haraka ambapo wateja wote wa Star times watatumia huduma hiyo bule kwa mda wa siku tatu mfululizo

waaandishi wakielekezwa wakati walipotembelea chumba cha kurusha matangazo

wafanyakazi wa Star Times kitengo cha kurusha matangazo wakiendelea na kazi yao

mshindi anatafutwa

Balozi wa Star Times STEVIN kANUMBA akiangalia mshindi

BALOZI WA STAR TIMES STIVEN KANUMBA AKIBONYEZA KITUFE CHA KUSAKA MSHINDI

MSHINDI LAZIMA APATIKANE
No comments:
Post a Comment