Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 31, 2011

FRANSIC MIYAYUSHO AMTWANGA MBWANA MATUMLA KWA POINTBondia Fransic Miyayusho (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Mbwana Matumla wakati wa mpambano wao Dar es salaam jana
Jab Jab akuna kulala fransic akipiga jab jab kila wakati ndicho kilicho mfanya ashinde mpambano huo jana


Kamanda wa Polosi Kanda Maarumu, Suleimani Kova akimvisha mkanda wa Ubingwa Bondia Fransic Miyayusho baada ya kushinda kwa pointu kulia ni Diwani wa KInondoni Kata ya Hananasifu, Abasi Tarimba na kiongozi wa kambi ya ngumi ya kinondoni Lazima Ukae, meneja ambaye ni mkurugenzi wa Kisangani Genalar Trades ya Kariakoo,Bobani

Masumbwi mawe kwa kwenda mbele

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...