Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 25, 2011

STAR TIMES YATOA MSAADA WA VYAKULA SHULE YA MSINGI UHURU MCHANGANYIKO LEO

Meneja Masoko wa Star Times Zuhura Hanifu (kushoto) akikabidhi baadhi ya vyakula walivyotoa kama msaada kwa Mwalimu mkuu wa SHule ya Msingi UHuru Mchanganyiko, Bi, Anna Mang'enya leo wanaoshuudia wa pili kushoto ni Ofisa Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Fidelis Charles na Ofisa Masoko na Ufundi Bw.Erick CyprianNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...