Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 16, 2011

SALMA KIKWETE ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNUANI-MAMA


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha watoto zoezi la jinsi ya kunawa mikono kwa sabuni wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani Oktoka 15,2011 katika viwanja vya Karimjee.-Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Sehemu ya tukio lilifanyika sherehe ya maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani okt.15.2011 jijini Dra es Sal;aam.- Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.


Wasanii wa Kikundi cha Orijino Comedy kikionyesha zoezi la kunawa mikono wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani lililofanyika okotoba 15,2011 jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete hayupo pichani, Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.


Picha ya pamoja iliyopigwa pamoja na mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ,uongozi wa Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii pamoja na wawakilishi wa watoto waliokuwepo kwenye maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani- oktoba 15,2011. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

Baadhi ya watoto pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Dar es salaam wakipita mbele ya mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani oktoba 15,2011 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) katika viwanja vya Karimjee jijini DSm-(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...