Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 16, 2011

MUHIMBAJI WA TWANGA PEPETA HAJI RAMADHANI AZOA MIL.40 ZA BSS-SECOND CHANCE

Mshindi wa Bongo Star Search Second Chance, Haji Ramadhan akiwa na briefcase iliyojazwa kitita cha shilingi mil.40 alizokabidhiwa kutokana na kutwaa nafasi hiyo katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.Waziri Salum ambaye alishika nafasi ya pili na kuzawadiwa shilingi mil.10


Rodgers Lucas, alishika nafasi ya tatu na kuondoka na shilingi milioni tano.


Mwanadada pekee ambaye alitinga fainali za shindano hilo, Bela Kombo huyu alikuwa wa nne.Mkali kutoka Nigeria anayetamba na kibao cha ASHAWO,anajulikana kama MR FLAVOUR alitumbuiza katika shindano hilo ambapo pia wasanii kiama mshindi wa Tusker Project Fame mwaka 2010, Alpha, mmoja ya washindi wa Tusker All Stars mwaka 2011, Peter Msechu, Mkali kutoka Uganda, Navio, Mshindi wa BSS 2007, Jumanne Iddi na Mshindi wa BSS 2010, Maryam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...