Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 15, 2011

majambozi ya Twanga Pepeta hapa


Waimbaji wa Twanga Pepeta, akiuongozwa na Luizer Mbutu (kulia).
Manjonjo ya wanenguaji wa Twanga Pepeta
Vitu kama hivyo ni kwenye maonesho yao tu, Twanga Pepeta inatisha.


Haya mambo mazuri yanapatikana Twanga Pepeta tu, ukitaka kufaidi kwa hapa Bongo, nenda Da West Park Inn Tabata kesho, Jumamosi pale Mango Garden Kinondoni na Jumapili, kwanza Twanga linatwanga pale Leaders Club, mchana kweupe na usiku kule Temeke ukumbi wa Sigara, Chang'ombe. Usikose mwanangu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...