Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 26, 2012

Filamu ya Men in black 3 in 3D movie yazinduliwa Mlimani cityMkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (kulia)
akimpongeza Monica Joseph mmoja wa wateja wao waliohudhuria uzinduzi
wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika
ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. Monica
alishinda simu ya mkononi.
Meneja Huduma wa Airtel, Hilda Nakajumo (kulia) akizungumza wakati
wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel
katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana.
Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor na
kushoto ni mmoja wa wateja wao, Monica Joseph waliohudhuria uzinduzi
huo na kuibuka mshindi wa zawadi ya simu iliyotolewa na Airtel
kunogesha uzinduzi huo.
DJ Fetty wa Clouds Radio naye akipokea zawadi yake kutoka kwa
Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola wakati
wa  uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na
Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam
jana.
Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola
(kulia) akitoa zawadi kwa  Monica Joseph mmoja wa wateja wao
waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D
uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani
City, Dar es Salaam jana.
Mbunifu wa Kimataifa, Flaviana Matata (kushoto) akipozi kwa picha
na Hilda Nakajumo, Meneja Huduma wa Airtel Tanzania wakati wa uzinduzi
wa filamu ya Men in Black 3 in 3D jijini Dar es Salaam jana. Uzinduzi
ulidhaminiwa na Airtel.
Ofisa Mauzo wa Airtel, Babra Ernest (wa pili kulia) akizungumza
wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na
Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam
jana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...