Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 24, 2012

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAWASILIANO ,SAYANSI NA TEKNOLOJIA ATEMBELEA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TCRA


Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia January Makamba akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Profesa John Nkoma, wakati alipotembelea Makao Makuu ya ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania zilizopo jengo la Mawasiliano Taower Sinza  ,barabara ya Sam Najoma jijini Dar es Salaam.kujionea shughuli zinazofanya na Mamlaka hiyo
.Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Januari Makamba akimsikiliza Mhandisi Mfawidhi wa Mawasiliano ya Redio wa  Mamlaka ya Mawasilioano Tanzania. Mhandisi,Johannes Magesa wakati alipokuwa akitoa maelezo juu ya kutambua muingiliano wa mawasiliano kwa frequecy za redio wakati waziri huyo alipotembelea TCRA kujionea shughuli zinazofanya na Mamlaka hiyo . kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Profesa John Nkoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba ( kulia) akimsikiliza Mhandisi wa TCRA Ikuja Jumanne wakati alipokuwa akionyeshwa kifaa cha kupimia Masafa ya Redio na TV.wakati aliopotembelea TCRA .
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba ( katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania Pfrofesa John Nkoma, wakionyeshwa kifaa kinachotumika kupimia mionzi ya minara mbalimbali hapa nchini na Meneja wa Mipango na Utafiti wa TCRA Dk.Ali Simba.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...