Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 25, 2012

TBL YAMZAWADIA BAJAJI WAKALA BORA KANDA YA KASKAZINI Meneja  Usambazaji wa Wateja Wakubwa wanaouza bidhaa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kaskazini, Fortunatus Alfred  akimkabidhi kadi na funguo za bajaji yenye thamani ya sh. milioni 4,
Mary Kimario  ambaye ameshinda uwakala bora wa usambazaji na uuzaji wa bidhaa za TBL Kanda ya Kaskazini. Hafla hiyo ilifanyika  hivi karibuni mjini Moshi, Kilimanjaro.

 Meneja  Usambazaji wa Wateja Wakubwa wanaouza bidhaa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kaskazini, Fortunatus Alfred  akimkabidhi kadi na funguo za bajaji yenye thamani ya sh. milioni 4,
Mary Kimario  ambaye ameshinda uwakala bora wa usambazaji na uuzaji wa bidhaa za TBL Kanda ya Kaskazini. Hafla hiyo ilifanyika  hivi karibuni mjini Moshi, Kilimanjaro.
Mfanyakazi wa Mfanyabiashara ambaye amejishindia Uwakala bora wa bidhaa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kaskazini, Mary Kimario akiwa kwenye bajaji yenye thamani ya sh. mil. 4 aliyozawadiwa. Wanaoshuhudia ni baadhi ya ndugu zake na wafanyakazi wa TBL.Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Moshi, Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...