Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 25, 2012

THE MBONIE SHOW YAZINDULIWA RASMI SERENA HOTEL


Usiku wa kuamkia jana kipindi cha The Mbonie Show kitakachokuwa kinaruka kwenye Runinga ya EATV kila alhamisi kilizinduliwa rasmi ndani ya ukumbi wa Kivukoni katika hoteli  ya Serena jijini Dar es salaam  ambapo mbali ya kuonesha demo pia alirekodi kipindi na Muigizaji Steve Nyerere na Mwanamuziki Diamond.
   Umati uliohudhuria uzinduzi huo.
Diamond akifanya onyesho  live na bendii ya B Band inayomilikiwa na mwanzamuziki Banana Zorro.
     Warembo wa mujini kadha wa kadha walishuhudia uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...