Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 26, 2012

ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM NAPE NNAUYE MKOANI KAGERAKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasili na ujumbe wake kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba, kwa ajili ya ziara ya siku moja maalum kwa kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM, mkoani Kagera ambako pamoja na shughuli nyingine alifungua Baraza la Vijana wa CCM, Wilaya ya Missenyi mkoani humo.
Nape alipata fursa ya  kucheza gofu kwenye viwanja vya mchezo huo vya Dioniz Malizni (kulia) nje kidogo ya mji wa Bukoba.


Nape alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mjini Bukoba na kupokelewa na wanachama wa CCM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...