Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 24, 2012

MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO JOHN MNYIKA BAADA YA KUSHINDA KESI


 Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika akiwapungia Wananchi wa Ubungo Standi huku akitembea kwa Mguu kutoka Mahakamani mara baada ya kushinda kesi jijini Dar es Salaam.
 Akiwapungia wanajimbo lake
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi ambao hawakutambulika wanatoka shule gani wakishangilia huku wakiwa kwenye maandamano hayo wakiwa wameshikilia picha ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika Dar es Salaam
 Akiwa katika ulinzi mkali akiwapungia wanajimbo lake
 Mnyika akiwapungia wanajimbo la Ubungo akiwa na furaha
 Wakazi wa ubungo wakiwa katika maandamano ya kumpokea Mbunge wa Ubungo John Mnyika
 Wanahabari wakiwa katika harakati za kazi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...