Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 24, 2012

R.I.P MUDY BACHECHE 40Mudy Bacheche(kulia) akiwa na nduguye Mkamba Ali Othman ambaye walikuwa wakielewana sana na ndio kila mmoja bestman wa mwenzie katika harusi zao.MKAMBA alifariki wiki moja baada ya kifo cha mudy kwa kuuguliwa na mafindofindo makali ya kooni..Mudy Bacheche ambaye amewahi kuwa bingwa wa pool na Mkamba ni wapwa wa IBRAHIM KAMWE”BigRight” wenyewe wanamwita anko T.
 Familia ya marehemu MZEE ABDALLAH MOHAMMED ( MACHECHE) ,wanapenda kutoa shukrani za dhati kwa mchango wenu mkubwa mlio uonyesha wakati maazishi katika shughuli nzima za kumpumnzisha mtoto wetu mpendwa"
MOHAMMED ABDALLAH (BACHECHE)"
 Tunapenda kuwaarifu kwenye shughuli ya AROBAINI ya mtoto wetu itakayofanyika nyumbani kwao kwa Marehemu MZEE ABDALLAH MOHAMMED (MACHECHE) Makumbusho / kijitonyama,karibu na shule ya msingi makumbusho. Tarehe 26/05/2012, Kuanzia saa saba mchana baada ya sala ya adhuhuri
MUNGUAZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI  ‘Ameen’

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...