Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 19, 2012

MASHINDANO YA MCHEZO WA POOL KWA VYUO VIKUU IRINGA

Baazi ya Viongozi wa mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa wakiwa pamoja na waamasishaji wa mchezo huo katika Mkoa wa Iringa
Mchezaji wa Mchezo wa Pool chuo cha RUCO ,Alen Masebo akijitaarisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya Vyuo vikuu vya Iringa. PIcha na www.burudan.blogspot.comwww.burudan.blogspot.com
Naibu Meyaq wa Mkoa wa Iringa Gervas Ndaki kulia akisalimiana na washiriki wa mchezo wa pool kabla ya kuanza kwa mashindano hayo yaliyozaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lagerwww.burudan.blogspot.com
Raphael John wa chuo kikuu Tumaini Iringa akijataalisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya pool kwa vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa Leo Picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...