Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 26, 2012

IRINGA KWA WAKA MOTO MASHINDANO YA SAFARI HIGHER LEARNING POOL YALIYOFUNGULIWA RASMI LEO. Mchezaji kutoka Chuo cha St.John cha Dodoma, Obiara Anyoti akicheza dhidi ya mpinzani wake Kweka John (hayupo pichani) wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa.
 Wanafunzi wachezaji kutoka vyuo mbalimbali shiriki wa mashindano ya Safari Higher Learning wakifuatilia mashindano yaliofunguliwa leo Mkoani Iringa.
 Mchezaji kutoka Chuo cha MUCCOBS CHA Mkoani Moshi, Kweka John akicheza dhidi ya mpinzani wake Obiara Anyoti(hayupo pichani) wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa.
 Wachezaji wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa

 Mchezaji wa chuo cha MUCCOBS, cha Moshi Kilimanjaro,Selemani Nassoro akipanga kete nyeupe ili acheze
 Wachezaji wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Higher Learning Pool Competition yanayofunguliwa leo rasmi Mkoani Iringa.

Wanafunzi wachezaji kutoka vyuo mbalimbali shiriki wa mashindano ya Safari Higher Learning wakifuatilia mashindano yaliofunguliwa leo Mkoani Iringa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...