Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 21, 2012

ZANTEL YATOA UDHAMINI MNONO BSSMshindi wa BSS mwaka huu kujinyakulia Shs. millioni 50, amezungumza makamu wa Rais wa Kampuni ya Zantel, Ahmed Mokhles kuhusiana na kampuni yao kudhamini shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search.
  
Master J

Shaa

Mkurugenzi wa Benchmark Production Madam Rita, waandaaji wa BSS

Wasanii na wadau waliohudhuria ktk uzinduzi wa BSS Serena Hotel Dsm

Shindano la BSS mwaka huu litajulikana kama ‘Epiq Bongo Star Search’  ambapo mshindi atanyakua shilingi milioni 50 tofauti na millioni 40 ya mwaka jana pamoja na zawadi nyingine kutoka Zantel, sambamba na mkataba wa kurekodi ili aweze kuendeleza kipaji chake baada ya shindano hilo. 
Mchakato wa mwaka huu utawahusisha washiriki kutoka  mikoa nane tofauti na saba ya mwaka jana Zanzibar, Lindi, Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Dar es Salaam mchakato utaanza mwezi Juni na pia wamepunguza umri wa kushiriki kutoka miaka 18 mpaka 16 sasa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...