Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 24, 2012

STEVIN NYERERE AGAWA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KINONDONI


Msanii Stevin Mangele katikati akiwa na Ofisa wa Kampuni ya Steps Pritesh Chavda na Mwandishi wa habari wa kituo cha EATV wakati alipokwenda kutembelea kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni na kutoa Zawadi ya vyakula mbalimbali kwa ajili ya uzinduzi wake wa filamu ya 'Nyerere' leo

Msemaji wa Kampuni ya Steps ya jijini Dar es salaam Kambarage Ignatios akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa uzinduzi wa filamu ya Mwalimu Nyerere leo
Stevin Mengele 'Steve Nyerer' kushoto akimkabidhi chandarua mtoto ali Husein  wakati alipokwenda kutoa misaada mbalimbali na kufanya utambulisho wa filamu yake mpya ya Nyerere

Stevin Mengele 'Steve Nyerer'  katikati akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Maunga Kinondoni Dar es salaam leo
Stevin Mengele 'Steve Nyerer' akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kwa ajili ya kutambulisha filamu yake ya Nyerere
Mkurugenzi wa DJ. Marketing and Promotion . Daniel Haule ambao hufanya kazi za kubandika mabango mbalimbali kwa usafi wa hali ya juu kwa ajili ya kutoalibu mazingila  akibandaka bango la filamu mpya ya Nyerere iliyozinduliwa leo
Stevin Mengele 'Steve Nyerer' kushoto akimkabizi  maharage kwa mama mrezi wa kituo cha Maunga kilichopo Kinondoni Dar es salaam Bi. Zainabu Bakari alipokwenda kutoa misaada ya vyakula na vitu mbalimbali leo
Mkurugenzi wa DJ. Marketing and Promotion . Daniel Haule  kushoto na Msemaji wa Kampuni ya Steps ya jijini Dar es salaam Kambarage Ignatios ambao hufanya kazi za kubandika mabango mbalimbali kwa usafi wa hali ya juu kwa ajili ya kutoalibu mazingila  akibandaka bango la filamu mpya ya Nyerere iliyozinduliwa leo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...