Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 27, 2012

MCHUMIA TUMBO AMGALAGAZA

Baadhi ya mashabiki wakiwa wamebeba viti kwa ajili ya kujifunika wakati mvua ilipokua iki nyesha kwenye mpambano huo Dar es salaam jana
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa amepozi wakati wa mpambano huo
SUPER D BOXING COACH AKIONESHA DVD ZAKE ALIZOKUWA AKIZA KATIKA MPAMBANO HUO DVD HIZO ZENYE MBINU NA SHERIA ZA MCHEZO WA MASUMBWI AMBAZO ZIMEEDITIWA KITAALAM KWA AJIRI YA KUFUNDISHA MBINU ZA MCHEZO HUO KUJUA SHERIA NA KANUNI ZAKE NDANI KUKIWA NA MABONDIA WA KIMATAIFA KAMA MANNY PAQUAIO,FLOYD MAYWEARTHER,AMIRI KHANY, MOHAMEDI ALI LENOX LEWIS NA WENGINE WENGI
Bondia Alphoce Mchumiatumbo  kushoto akimshambulia kwa makonde bondia Bahati Mwamfiale wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Mchumia tumbo alishinda kwa K,O raundi ya tatu
Bondia Alphoce Mchumiatumbo kulia akipambana na Bahati Mwamfiale wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana
Bondia Alphoce Mchumiatumbo  kushoto akimwangalia bondia Bahati Mwamfiale  baada ya kumfulumusha makonde na kukaa chini wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Mchumia tumbo alishinda kwa K,O raundi ya tatu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...