Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 25, 2012

TAIFA STARS MALAWI KUKIPIGA KESHO

Msemaji wa TFF Boniface Wambura akiwatambulisha makocha wa soka Malawi na Tanzania kwa ajili ya kuzungumzia mpambano wao utakaofanyika kesho katika uwanja wa Taifa Dar es salaam
Kocha wa timu ya Taifa ya Malawi. Kinnah Phiri akizungumza na kocha wa timu ya TAIFA Stars Kim Polsen
Kocha wa timu ya Taifa ya Malawi. Kinnah Phiri akizungumza na waandishi wa habari kuusu mpambano wa kesho zidi ya Taifa Stars
Kocha wa timu ya Taifa ya Malawi. Kinnah Phiri  kulia  na kocha wa timu ya TAIFA Stars Kim Polsen wakizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...