Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 20, 2013

BENKI YA POSTA YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA WEASTERN UNION


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa  Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bernadethe Gogadi, akimkabidhi kitita cha shilingi milioni 2, mshindi wa promosheni ya kutumia huduma ya ‘Weastern Union’, ambaye ni mwanafunzi wa Chuo cha Eckenforde cha jijini Tanga, Neema Jacob (kulia), jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Samora, Deo Kayega. (Picha na Habari Mseto Blog)

Mshindi wa promosheni ya kutumia huduma za Weastern Union mwanafunzi wa Chuo cha Eckenforde cha jijini Tanga, Neema Jacob akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhiwa kitita cha shilingi milioni 2. Kushoto ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Samora, Deo Kayega na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa  Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bernadethe Gogadi.
Mshindi wa promosheni ya kutumia huduma za Weastern Union, Neema Jacob akiwa ameshika zawadi yake ya sh milioni 2 baada ya kukabidhiwa na uongozi wa Benki ya Posta Tanzania jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...