Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 26, 2013

WADAU WA VIWANDA VYA CEMENT AFRICA WAKUTANA KATIKA MKUTANO WA TANO NCHINI TANZANIA KUZUNGUMZIA KUKUWA KWA SEKTA YA CEMENT Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (kulia) akijadiliana jambo na wadau wa viwanda vya cement waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika (katikati) Mkurugenzi wa kiwanda cha Twiga Cement Kanda ya Africa Mashariki, Pascal Lesoinne (kushoto) Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko. Mkutano huo wa siku mbili umeanza jijini Dar es Salaam Ferbruari 26. (Picha na Chris Mfinanga)
 Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko akijaongea na waandishi wa habari wa kituo cha Televisheni ya Taifa TBC wakatika wa Mkutano huo.
 Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko (katikati) akijadiliana jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Camel Oil Abdallah Nahdi (kulia) na Mshauri wa Biashara wa Kampuni ya Zabol Cement Arash Ehsanfar katika mkutano wa wadau wa viwanda vya cement tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika uliofanyika Dar es Salaam Februari 26 2013. Mkutano huo wa ni wa siku mbili.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wadau wa viwanda vya cement waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika Dar es Salaam Februari 26 2013

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...